Ufu. 11:11 SUV

11 Na baada ya siku hizo tatu u nusu, roho ya uhai itokayo kwa Mungu ikawaingia, wakasimama juu ya miguu yao; na hofu kuu ikawaangukia watu waliowatazama.

Kusoma sura kamili Ufu. 11

Mtazamo Ufu. 11:11 katika mazingira