Ufu. 14:2 SUV

2 Nami nikasikia sauti kutoka mbinguni, kama sauti ya maji mengi, na kama sauti ya radi kuu. Na hiyo sauti niliyoisikia ilikuwa kama sauti ya wapiga vinubi, wakivipiga vinubi vyao;

Kusoma sura kamili Ufu. 14

Mtazamo Ufu. 14:2 katika mazingira