Ufu. 17:14 SUV

14 Hawa watafanya vita na Mwana-Kondoo, na Mwana Kondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme, na hao walio pamoja naye ndio walioitwa, na wateule, na waaminifu.

Kusoma sura kamili Ufu. 17

Mtazamo Ufu. 17:14 katika mazingira