Ufu. 18:10 SUV

10 wakisimama mbali kwa hofu ya maumivu yake, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu, Babeli, mji ule ulio na nguvu! Kwa kuwa katika saa moja hukumu yako imekuja.

Kusoma sura kamili Ufu. 18

Mtazamo Ufu. 18:10 katika mazingira