Ufu. 2:18 SUV

18 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Thiatira andika;Haya ndiyo anenayo Mwana wa Mungu, yeye aliye na macho yake kama mwali wa moto, na miguu yake mfano wa shaba iliyosuguliwa sana.

Kusoma sura kamili Ufu. 2

Mtazamo Ufu. 2:18 katika mazingira