11 Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.
Kusoma sura kamili Ufu. 20
Mtazamo Ufu. 20:11 katika mazingira