27 Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.
Kusoma sura kamili Ufu. 21
Mtazamo Ufu. 21:27 katika mazingira