Ufu. 22:3 SUV

3 Wala hapatakuwa na laana yo yote tena. Na kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo ndani yake. Na watumwa wake watamtumikia;

Kusoma sura kamili Ufu. 22

Mtazamo Ufu. 22:3 katika mazingira