Ufu. 3:8 SUV

8 Nayajua matendo yako. Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, ambao hapana awezaye kuufunga, kwa kuwa unazo nguvu kidogo, nawe umelitunza neno langu, wala hukulikana jina langu.

Kusoma sura kamili Ufu. 3

Mtazamo Ufu. 3:8 katika mazingira