Ufu. 5:9 SUV

9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,

Kusoma sura kamili Ufu. 5

Mtazamo Ufu. 5:9 katika mazingira