Ufu. 6:5 SUV

5 Na alipoifungua muhuri ya tatu, nikamsikia yule wa tatu mwenye uhai akisema, Njoo! Nikaona, na tazama, farasi mweusi, na yeye aliyempanda ana mizani mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Ufu. 6

Mtazamo Ufu. 6:5 katika mazingira