Ufu. 7:1 SUV

1 Baada ya hayo nikaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za nchi, wakizizuia pepo nne za nchi, upepo usivume juu ya nchi, wala juu ya bahari, wala juu ya mti wo wote.

Kusoma sura kamili Ufu. 7

Mtazamo Ufu. 7:1 katika mazingira