Ufu. 8:13 SUV

13 Kisha nikaona, nikasikia tai mmoja akiruka katikati ya mbingu, akisema kwa sauti kuu, Ole, ole, ole wao wakaao juu ya nchi! Kwa sababu ya sauti zisaliazo za baragumu za malaika watatu, walio tayari kupiga.

Kusoma sura kamili Ufu. 8

Mtazamo Ufu. 8:13 katika mazingira