Ufu. 8:7 SUV

7 Malaika wa kwanza akapiga baragumu, kukawa mvua ya mawe na moto vilivyotangamana na damu, vikatupwa juu ya nchi; theluthi ya nchi ikateketea, na theluthi ya miti ikateketea, na majani mabichi yote yakateketea.

Kusoma sura kamili Ufu. 8

Mtazamo Ufu. 8:7 katika mazingira