14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Kusoma sura kamili Yn. 1
Mtazamo Yn. 1:14 katika mazingira