Yn. 1:25 SUV

25 Wakamwuliza, wakamwambia, Mbona basi wabatiza, ikiwa wewe si Kristo, wala Eliya, wala nabii yule?

Kusoma sura kamili Yn. 1

Mtazamo Yn. 1:25 katika mazingira