Yn. 1:33 SUV

33 Wala mimi sikumjua; lakini yeye aliyenipeleka kubatiza kwa maji, huyo aliniambia, Yeye ambaye utamwona Roho akishuka na kukaa juu yake, huyo ndiye abatizaye kwa Roho Mtakatifu.

Kusoma sura kamili Yn. 1

Mtazamo Yn. 1:33 katika mazingira