Yn. 1:42 SUV

42 Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe).

Kusoma sura kamili Yn. 1

Mtazamo Yn. 1:42 katika mazingira