Yn. 10:10 SUV

10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.

Kusoma sura kamili Yn. 10

Mtazamo Yn. 10:10 katika mazingira