Yn. 10:33 SUV

33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Kusoma sura kamili Yn. 10

Mtazamo Yn. 10:33 katika mazingira