Yn. 11:32 SUV

32 Basi Mariamu alipofika pale alipokuwapo Yesu, na kumwona, alianguka miguuni pake, akamwambia, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.

Kusoma sura kamili Yn. 11

Mtazamo Yn. 11:32 katika mazingira