Yn. 11:44 SUV

44 Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.

Kusoma sura kamili Yn. 11

Mtazamo Yn. 11:44 katika mazingira