Yn. 11:54 SUV

54 Kwa hiyo Yesu hakutembea tena kwa wazi katikati ya Wayahudi; bali alitoka huko, akaenda mahali karibu na jangwa, mpaka mji uitwao Efraimu; akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.

Kusoma sura kamili Yn. 11

Mtazamo Yn. 11:54 katika mazingira