Yn. 11:8 SUV

8 Wale wanafunzi wakamwambia, Rabi, juzijuzi tu Wayahudi walikuwa wakitafuta kukupiga kwa mawe, nawe unakwenda huko tena?

Kusoma sura kamili Yn. 11

Mtazamo Yn. 11:8 katika mazingira