Yn. 12:24 SUV

24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.

Kusoma sura kamili Yn. 12

Mtazamo Yn. 12:24 katika mazingira