Yn. 12:29 SUV

29 Basi mkutano uliosimama karibu wakasikia, walisema ya kwamba kumekuwa ngurumo; wengine walisema, Malaika amesema naye.

Kusoma sura kamili Yn. 12

Mtazamo Yn. 12:29 katika mazingira