40 Amewapofusha macho,Ameifanya mizito mioyo yao;Wasije wakaona kwa macho yao,Wakafahamu kwa mioyo yao,Wakaongoka, nikawaponya.
Kusoma sura kamili Yn. 12
Mtazamo Yn. 12:40 katika mazingira