42 Walakini hata katika wakuu walikuwamo wengi waliomwamini; lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumkiri, wasije wakatengwa na sinagogi.
Kusoma sura kamili Yn. 12
Mtazamo Yn. 12:42 katika mazingira