47 Na mtu akiyasikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja ili niuhukumu ulimwengu, ila niuokoe ulimwengu.
Kusoma sura kamili Yn. 12
Mtazamo Yn. 12:47 katika mazingira