Yn. 12:6 SUV

6 Naye aliyasema hayo, si kwa kuwahurumia maskini; bali kwa kuwa ni mwivi, naye ndiye aliyeshika mfuko, akavichukua vilivyotiwa humo.

Kusoma sura kamili Yn. 12

Mtazamo Yn. 12:6 katika mazingira