Yn. 13:1 SUV

1 Basi, kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu, hali akijua ya kuwa saa yake imefika, atakayotoka katika ulimwengu kwenda kwa Baba, naye ali amewapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapenda upeo.

Kusoma sura kamili Yn. 13

Mtazamo Yn. 13:1 katika mazingira