31 Basi huyo alipokwisha kutoka, Yesu alisema, Sasa ametukuzwa Mwana wa Adamu, naye Mungu ametukuzwa ndani yake.
Kusoma sura kamili Yn. 13
Mtazamo Yn. 13:31 katika mazingira