Yn. 13:33 SUV

33 Enyi watoto wadogo, bado kitambo kidogo nipo pamoja nanyi; mtanitafuta; na kama vile nilivyowaambia Wayahudi ya kwamba, Mimi niendako ninyi hamwezi kuja; kadhalika sasa nawaambia ninyi.

Kusoma sura kamili Yn. 13

Mtazamo Yn. 13:33 katika mazingira