Yn. 13:36 SUV

36 Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwendapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye.

Kusoma sura kamili Yn. 13

Mtazamo Yn. 13:36 katika mazingira