Yn. 13:38 SUV

38 Yesu akamjibu, Je! Wewe utautoa uhai wako kwa ajili yangu? Amin, amin, nakuambia, Jimbi hatawika hata wewe utakapokuwa umenikana mara tatu.

Kusoma sura kamili Yn. 13

Mtazamo Yn. 13:38 katika mazingira