Yn. 14:10 SUV

10 Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.

Kusoma sura kamili Yn. 14

Mtazamo Yn. 14:10 katika mazingira