Yn. 14:21 SUV

21 Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.

Kusoma sura kamili Yn. 14

Mtazamo Yn. 14:21 katika mazingira