26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
Kusoma sura kamili Yn. 14
Mtazamo Yn. 14:26 katika mazingira