Yn. 14:3 SUV

3 Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.

Kusoma sura kamili Yn. 14

Mtazamo Yn. 14:3 katika mazingira