10 Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.
Kusoma sura kamili Yn. 15
Mtazamo Yn. 15:10 katika mazingira