Yn. 15:26 SUV

26 Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia.

Kusoma sura kamili Yn. 15

Mtazamo Yn. 15:26 katika mazingira