Yn. 15:5 SUV

5 Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lo lote.

Kusoma sura kamili Yn. 15

Mtazamo Yn. 15:5 katika mazingira