Yn. 16:19 SUV

19 Yesu alifahamu ya kwamba wanataka kumwuliza, akawaambia, Ndilo hilo mnaloulizana, ya kuwa nalisema, Bado kitambo kidogo nanyi hamnioni, na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona?

Kusoma sura kamili Yn. 16

Mtazamo Yn. 16:19 katika mazingira