Yn. 17:24 SUV

24 Baba, hao ulionipa nataka wawe pamoja nami po pote nilipo, wapate na kuutazama utukufu wangu ulionipa; kwa maana ulinipenda kabla ya kuwekwa msingi ulimwengu.

Kusoma sura kamili Yn. 17

Mtazamo Yn. 17:24 katika mazingira