Yn. 18:10 SUV

10 Basi Simoni Petro alikuwa na upanga, akaufuta, akampiga mtumwa wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio la kuume. Na yule mtumwa jina lake ni Malko.

Kusoma sura kamili Yn. 18

Mtazamo Yn. 18:10 katika mazingira