Yn. 18:12 SUV

12 Basi wale askari na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga.

Kusoma sura kamili Yn. 18

Mtazamo Yn. 18:12 katika mazingira