Yn. 18:20 SUV

20 Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu waziwazi; sikuzote nalifundisha katika sinagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi wote; wala kwa siri mimi sikusema neno lo lote.

Kusoma sura kamili Yn. 18

Mtazamo Yn. 18:20 katika mazingira