Yn. 18:38 SUV

38 Pilato akamwambia, Kweli ni nini?Naye akiisha kusema neno hilo akawatokea Wayahudi tena, akawaambia, Mimi sioni hatia yo yote kwake.

Kusoma sura kamili Yn. 18

Mtazamo Yn. 18:38 katika mazingira