Yn. 19:23 SUV

23 Nao askari walipomsulibisha Yesu, waliyatwaa mavazi yake, wakafanya mafungu manne, kwa kila askari fungu lake; na kanzu nayo. Basi kanzu ile haikushonwa, ilikuwa imefumwa yote pia tangu juu.

Kusoma sura kamili Yn. 19

Mtazamo Yn. 19:23 katika mazingira