Yn. 21:15 SUV

15 Basi walipokwisha kula, Yesu akamwambia Simoni Petro, Je! Simoni wa Yohana, wewe wanipenda kuliko hawa? Akamwambia, Naam, Bwana, wewe wajua kuwa nakupenda. Akamwambia, Lisha wana-kondoo wangu.

Kusoma sura kamili Yn. 21

Mtazamo Yn. 21:15 katika mazingira